Download Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) MP3

Download Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi  (Official Audio) MP3 Gratis - Stafaband 3:40
Rich Mavoko • 3:40 • ~3.4 MB
Share:

Tentang Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio)

Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) adalah lagu dari Rich Mavoko yang bisa kamu download gratis di Stafaband. Durasi lagu ini adalah 3 menit 40 detik dengan estimasi ukuran file sekitar 3.4 MB.

Lirik lengkap Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) juga tersedia di halaman ini, sehingga kamu bisa membaca lirik sambil mendengarkan lagu. Cukup klik tombol Download MP3 di atas untuk mengunduh lagu ini ke perangkat kamu. Tidak perlu registrasi, tidak perlu install aplikasi.

Stafaband menyediakan layanan konversi YouTube ke MP3 yang cepat dan aman. Cek juga lagu lainnya dari Rich Mavoko dan artis terkait di bawah. Gunakan fitur pencarian di halaman utama untuk menemukan jutaan lagu lainnya.

Lirik Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio)

Mmh mmh aaah
Kwengine sitamani
Ile ahadi ulonipa moyoni
Nahisi ni shetani
Alie badili mawazo kichwani

Mmmh! Ona mapenzi ni mfano wa dimbwi
Nimezama ni vigumu kutoka
Mmmh! Ona nakesha ni kama bundi
Nikilala kuna kitu nakiota

Umenipa upofu ningali hai
Mboni zangu unaniumiza
Ukanipa donda ndugu
Moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza

Umenipa upofu ningali hai
Mboni zangu unaniumiza
Ukanipa donda ndugu
Moyoni mwangu maumivu yaliopitiliza

Mbona silali
Kisa mawazo mwenzako sili
Ona watoto nyumbani
Wanauliza wapi mommy

Ona mbona mbona silali
Kisa mawazo mwenzako sili
Ona watoto nyumbani
Wanauliza wapi mommy

Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo
Lakini siwezi
Nahisi kama ndo nitazidisha mawazo
Na maumivu ya mapenzi

Mbona silali
Kisa mawazo mwenzako sili
Ona watoto nyumbani
Wanauliza wapi mommy

Ona mbona silali
Kisa mawazo mwenzako sili
Ona watoto nyumbani
Wanauliza wapi mommy

Oh oh oh eoh (oooooh)
Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
Oh oh oh eoh (tuishi wawili)

Oh oh oh eoh (aah tujenge famili)
Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani)
Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa)
Oh oh oh eoh (oooooh)

Mizizi ya mapenzi moyoni
Umekata kwa kinywa chako
Huwezi kujua machoni
Kama nimemisi pendo lako

Ona macho yangu yalivonyauka
Kwakutazama penzi linalozamia
Mmmh nimechoka kulalama
Nahisi kama unanionea

Nyimbo za hisia na mawazo
Kichwani bado zinajitunga
Napo jiuliza nini chanzo
Naumia naona bora kuimba

Wanipa tabu ya kusafisha kaniniki
Wakati rangi inajulikana
Naninashindwa usingizi sipati
Nakosa raha usiku mpaka mchana

Mmh hey (hey)
Mbona silali
Kisa mawazo mwenzako sili
Ona watoto nyumbani
Wanauliza wapi mommy

Aah ona mbona silali (mbona silali)
Kisa mawazo mwenzako sili (ah mwenzako misili)
Ona watoto nyumbani (ah watoto nyumbani)
Wanauliza wapi mommy (uuuh uuh uuh)

Ningekunywa pombe ili nipunguze mawazo
Lakini siwezi
Nahisi kama ndo nitazidisha mawazo
Na maumivu ya mapenzi

Mbona silali (ooh mbona silali)
Kisa mawazo mwenzako sili (mwenzako misili)
Ona watoto nyumbani (aah watoto nyumbani)
Wanauliza wapi mommy (wapi mommy)

Mbona silali (mbona silali)
Aah kisa mwenzako mi sili
Aah ona watoto nyumbani
Wanauliza wapi mommy (ooh ooh ooh)

Oh oh oh eoh (oooooh)
Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
Oh oh oh eoh (rudi nyumbani)
Oh oh oh eoh (tuishi wawili)

Oh oh oh eoh (aah tujenge famili)
Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani)
Oh oh oh eoh (ooh rudi nyumbani mamaa)
Oh oh oh eoh (oooooh)

Sumber lirik: LRCLIB

FAQ - Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio)

Bagaimana cara download Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) MP3?

Untuk download Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) MP3 di Stafaband, klik tombol merah "Download MP3" di bagian atas halaman ini. Kamu akan melihat tombol download muncul — klik sekali dan file MP3 (3.4 MB) akan langsung terunduh ke perangkat kamu. Proses ini gratis, tanpa registrasi, dan bisa dilakukan dari HP maupun laptop.

Apakah download Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) gratis dan aman?

Ya, download Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) oleh Rich Mavoko di Stafaband sepenuhnya gratis dan aman. Stafaband tidak menyimpan file MP3 di server — semua diproses secara real-time. Tidak perlu install aplikasi dan tidak ada malware atau iklan berbahaya.

Berapa durasi dan ukuran file Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio)?

Lagu Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) oleh Rich Mavoko berdurasi 3 menit 40 detik (3:40). Estimasi ukuran file MP3 sekitar 3.4 MB.

Apakah lirik Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) tersedia?

Ya! Lirik lengkap Rich Mavoko ft Patoranking - Rudi (Official Audio) tersedia di halaman ini. Scroll ke bagian "Lirik" di atas untuk membaca teks lagu selengkapnya. Kamu bisa membaca lirik sambil mendengarkan preview lagu melalui tombol Preview.