Download Malebo MP3

Download Malebo MP3 Gratis - Stafaband 5:45
DJ WIZZY 254 • 5:45 • ~5.4 MB
Share:

Tentang Malebo

Malebo adalah lagu dari DJ WIZZY 254 yang bisa kamu download gratis di Stafaband. Dengan durasi 5 menit 45 detik, lagu ini termasuk track panjang yang cocok untuk menemani perjalanan atau waktu santai kamu.

Lirik lengkap Malebo juga tersedia di halaman ini, sehingga kamu bisa membaca lirik sambil mendengarkan lagu. Cukup klik tombol Download MP3 di atas untuk mengunduh lagu ini ke perangkat kamu. Tidak perlu registrasi, tidak perlu install aplikasi.

Stafaband menyediakan layanan konversi YouTube ke MP3 yang cepat dan aman. Cek juga lagu lainnya dari DJ WIZZY 254 dan artis terkait di bawah. Gunakan fitur pencarian di halaman utama untuk menemukan jutaan lagu lainnya.

Lirik Malebo

Nina huzuni rohoni, mimi siimbi nalia
namlilia Malebo amekataa kuokoka
nilizoimba ni nyingi nikimuonya Malebo
bado hajabadilika, sasa siimbi nalia

Yeye ni wangu rafiki tuliyesoma pamoja
michezo ya utotoni tuliicheza pamoja
sasa ni watu wazima na mimi nimeokoka
Malebo nikimwambia yeye anaruka kimanga

Si yeye peke yake ninao wengi rafiki
niliwaimba kimbele kwenye kaseti ya pili
wengine wamekubali wamemwamini Mwokozi
Yesu amewasamehe amebakia Malebo

tangu zamani huwa akinitafuta
aninunulie chang'aa, bangi, sigara na beer
nikimwambia Malebo ninunulie chakula
matusi tanitukana nimelalia maskio

umenitusi malebo, uongo kuninenea
mimi nimemsamehe najua tatizo lake
yeye mtumwa wa dhambi anataka ukombozi
mpaka atakapokubali Yesu atamkomboa

nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu
Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa
jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni
utakuwa kiumbe kipya, ya kale yote tapita

mkumbuke Mrefu alivyokuwa mbaya
tangu alipokubali kumpa Yesu maisha
ameshambadilisha sio Mrefu wa kale
sasa anahubiri injili yake Mwokozi

nawajua vizuri Pili na Tatu Pamoja
walivyokuwa wakali watoto wa mtaani
sasa wameshaokoka wamechanua vizuri
wote wameokoka wana watoto nyumbani

Nimeshanawa mikono, damu yako sidaiwi
Yesu anayekupenda njoo kwake anakuita
unanijua vizuri sina haja kueleza
Yesu 'linibadilisha na wewe 'takubadilisha

anakuita ulivyo uje akubadilishe
acha kutia mashaka anajua kazi yake
kazi yako kuamini, kutubu makosa yako
na yesu ni kusamehe na kukuosha kabisa

hima njoo kwa haraka wacha kusita malebo
ona ulivyo chakaa meno sita wametoa
wale uliodanganya ukawaibia mapesa
wengine washaapa watakungo'a mengine

sio wote wapole kama unavyoniona
pesa ulizonirusha mimi nimenyamaza kimya
sasa wale wazaire uliowaibiwa madola
wamesema wakikuona macho yako tayang'oa

najua maskani unapoishi malebo
jijini dar es salaam, keko ya magurumbasi
pale mjini arusha huko unga limited
na jiji la nairobi watakupata majengo

Kwote nimezunguka sijakuona kabisa
wazazi wanisumbua hawakuoni nyumbani
mkeo yule wa tano anakutaka nyumbani
wale ulowafukuza wote pia wamerudi

nakuita Malebo uje kwa Yesu utubu
Yeye ni mwenye huruma atakusamehe kabisa
jina lako la Malebo litaandikwa mbinguni
utakuwa kiumbe kipya, ya kale yote tapita

Sumber lirik: LRCLIB

FAQ - Malebo

Bagaimana cara download Malebo MP3?

Untuk download Malebo MP3 di Stafaband, klik tombol merah "Download MP3" di bagian atas halaman ini. Kamu akan melihat tombol download muncul — klik sekali dan file MP3 (5.4 MB) akan langsung terunduh ke perangkat kamu. Proses ini gratis, tanpa registrasi, dan bisa dilakukan dari HP maupun laptop.

Apakah download Malebo gratis dan aman?

Ya, download Malebo oleh DJ WIZZY 254 di Stafaband sepenuhnya gratis dan aman. Stafaband tidak menyimpan file MP3 di server — semua diproses secara real-time. Tidak perlu install aplikasi dan tidak ada malware atau iklan berbahaya.

Berapa durasi dan ukuran file Malebo?

Lagu Malebo oleh DJ WIZZY 254 berdurasi 5 menit 45 detik (5:45). Estimasi ukuran file MP3 sekitar 5.4 MB. File ini termasuk besar, pastikan koneksi internet kamu stabil saat mendownload.

Apakah lirik Malebo tersedia?

Ya! Lirik lengkap Malebo tersedia di halaman ini. Scroll ke bagian "Lirik" di atas untuk membaca teks lagu selengkapnya. Kamu bisa membaca lirik sambil mendengarkan preview lagu melalui tombol Preview.